MAONESHO YA NYANDA ZA KUSINI MASHARIKI

Swahili
Tarehe ya Tukio: 
11/6/2020 to 15/6/2020
Wigo: 
Ya Ndani
Mahitaji ya Msingi: 
Maonesho haya yanahusisha mikoa ya Dar Es Salaam, Lindi, Mtwara, Morogoro and Pwani
Mawasiliano: 
Kwa Maelezo zaidi wasiliana na SIDO MAKAO MAKUU S. L. P 2476 SIMU: +255 752 898965 (Meneja wa Masoko) +255 683 475573 (Meneja wa Mkoa - Morogoro) Barua pepe: mm@sido.go.tz / morogoro@sido.go.tz Tovuti: www.sido.go.tz
Eneo La Tukio: 
MOROGORO