Ratiba ya Maonesho ya Kibiashara

Ukurasa huu unatoa habari kuhusu sehemu na tarehe za maonesho ya kibiashara yanayotarajiwa kufanyika ndani na nje ya nchi. Kadharika, SIDO huandaa maonesho yake ya Kikanda (kanda inajumuiasha mikoa jirani isiyo pungua mitatu) kwa lengo la kukuza masoko kwa kuvumisha bidhaa za wajasiriamali wanaoshiriki maonesho husika. Katika maonesho, wajasiriamali hupata fursa ya kuonesha bidhaa na pia hupata oda za bidhaa wanazotengeneza.

Jina la Maonesho Wigo Tarehe Eneo Mawasiliano
MAONESHO YA 4 YA SIDO KITAIFA Local 23/10/2023 to 31/10/2023 Njome Meneja wa Mkoa SIDO Njombe Mob: 0784 798 499 Barua Pepe: njombe@sido.go.tz www.sido.go.tz
MAONESHO YA 47 YA KIMATAIFA YA BIASHARA (DITF) Ya Ndani 28/6/2023 to 13/7/2023 Dar Es Salaam MENEJA WA MASOKO SIDO UPANGA, DAR ES SALAAM Mob: 0752 898 965 Barua pepe: mm@sido.go.tz www.sido.go.tz