Huduma za SIDO
Ukurasa huu huonesha huduma za SIDO zinazotolewa kwa Wajasiriamali nchini. Huduma hizi zinatekelezwa katika maeneo manne ambayo ni Teknolojia na Huduma za Kifundi; Mafunzo ya Biashara na Huduma za Ugani; Huduma za Masoko na Habari na pia Huduma za Ki-fedha.
Bofya jina la Huduma ili kupata maelezo ya huduma husika.
Hakuna taarifa kwa sasa