SIDO YASHEREREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Baadhi ya watumishi wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kutoka SIDO Upanga, wakiwa kwenye matayarisho ya kujumuika na Wanawake wengine wa mkoa wa Dar Es Salaam katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani Machi 8, 2023 yaliyoazimishwa kimkoa katika viwanja vya Mnazi MMoja jijini Da Es Salaam.