ENERGY SAVING CHARCOAL STOVE

English

Wazalishaji wa majiko bora ya mkaa yanayotumia mkaa kidogo hivyo kuokoa fedha na kutunza mazingira. Kuna aina mbili za majiko; yenye stendi na yasiyokuwa na stend na pia yanapatikana kwa ukubwa tofauti. Bei zetu ni nafuu na tunakaribisha wafanyabiashara wanaopenda kuwa wauzaji na wasambazaji wa bidhaa zetu.

Tunapatikana Mtaa wa Kalangalala nyuma ya Benki ya NMB. Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:

1.

2.

3.

 

 

 

Sector: 
Black Smith
Product: 
ENERGY SAVING CHARCOAL STOVE
Region: 
Geita