Wabia na Wafadhili

EFTA Ltd inakopesha mashine na kuwasaidia wajasiriamali wadogo na wa kati kupata vitendea kazi katika shughuli zao.

Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga ni moja ya Halmashauri 5 zinazounda mkoa wa Shinyanga na ndio makao makuu ya Mkoa wa Shinyanga. Imepakana na Halmashauri ya Wilaya Shinyanga upande wa kaskazini, kaskazini magharibi,magharibi na kusini magharibi. Kuanzia upande wa mashariki hadi kusini mashariki imepakana na Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu.