Swahili
Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) likishirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida wanawakaribisha wajasiriamali na wadau wote kwenye maonesho ya pili ya SIDO kitaifa 2019
Mahali: Viwanja vya Bombadier - Singida
Tarehe: 4-9 Oktoba
Mgeni rasmi: Waziri Mkuu, Mh. Kassim Majaliwa
Kwa mawasiliano zaidi: wasiliana na ofisi ya SIDO iliyo karibu nawe
Au piga simu: 0755 025 190, 0752 898 965
"Wajasiriamali wote wa ndani na njeya nchi mnakaribishwa "Teknolojia bora na bunifu kwa viwanda vidogo na vya kati ni nguzo ya uchumi endelevu"