Ratiba ya Maonesho ya Kibiashara
Ukurasa huu unatoa habari kuhusu sehemu na tarehe za maonesho ya kibiashara yanayotarajiwa kufanyika ndani na nje ya nchi. Kadharika, SIDO huandaa maonesho yake ya Kikanda (kanda inajumuiasha mikoa jirani isiyo pungua mitatu) kwa lengo la kukuza masoko kwa kuvumisha bidhaa za wajasiriamali wanaoshiriki maonesho husika. Katika maonesho, wajasiriamali hupata fursa ya kuonesha bidhaa na pia hupata oda za bidhaa wanazotengeneza.
Jina la Maonesho | Wigo | Tarehe | Eneo | Mawasiliano |
---|---|---|---|---|
Siku ya Viwanda Afrika | Ya Ndani | 05/12/2022 to 10/12/2022 | Dar Es Salaam | Meneja Mkoa SIDO Dar Es Salaam Mob: Barua pepe: daressalam@sido.go.tz www.sido.go.tz |
MAONESHO YA KANDA YA KASKAZINI (Kilimanjaro, Tanga , Manyara and Arusha) | Ya Ndani | 11/10/2022 to 17/10/2022 | Arusha | mENEJA WA mKOA SIDO Arusha Mob: 0754 778 360 Barua pepe: arusha@sido.go.tz www.sido.go.tz |
MAONESHO YA SIDO KANDA YA KATI (Tabora, Dodoma, Singida, Katavi and Kigoma) | Local | 19/9/2022 to 26/9/2022 | Katavi | Meneja wa Mkoa (Kaimu) SIDO Katavi Mob: 0757 641 619 Barua Pepe: katavi@sido.go.tz www.sido.go.tz |
MAONESHO YA 46 KIMATAIFA YA SABASABA 2022 | Ya Nje | 28/6/2022 to 13/7/2022 | Regional Manager SIDO Dar Es Salaam Mob: 0767 440 123 Barua pepe: daressalaam@sido.go.tz www.sido.go.tz | |
Maonesho ya Kanda ya Kusini Mashariki (Dar Es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara and Morogoro) | Ya Ndani | 24/5/2022 to 30/5/2022 | Pwani | Meneja wa Mkoa SIDO Pwani Mob:0767 247 159 Email: pwani@sido.go.tz |