Lugha

  • English
  • Kiswahili
  • Ingia
Mei 31, 2023
Home
Small Industries Development Organization
  • Kuhusu Shirika
    • Utangulizi
    • Muundo wa Shirika
    • Ofisi za Shirika
    • Dira Na Dhamira
    • Mpango Mkakati
    • Huduma za SIDO
    • Habari za Miradi
    • Wabia na Wafadhili
    • Mawasiliano
  • Teknolojia
    • Upatikanaji wa Teknolojia
    • Kukuza Ubunifu
    • Uhamishaji wa Teknolojia
    • Huduma za Ushauri wa Ki-Ufundi
    • Katalogi za Mashine
  • Mafunzo na Ushauri
    • Kurasimisha Biashara na Bidhaa
    • Kalenda ya Mafunzo
    • Katalogi ya Mafunzo
    • Ushauri, Usimamizi na Uelekezaji
    • Fursa za Uwekezaji
      • Habari za utafiti wa Biashara
      • Uundaji Miradi
      • Upembuzi yakinifu
      • Miundo Mbinu ya Uwekezaji
  • Masoko
    • Vifungashio
    • Ratiba ya Maonesho ya Kibiashara
    • Mianya ya Biashara
    • Katalogi ya Bidhaa na Huduma
    • Machapisho
    • Video za Masoko
  • Huduma za Kifedha
    • Huduma za Mikopo
    • Unganishaji Huduma za Kifedha na Mikopo
    • Mpango wa Dhamana ya Mikopo
    • Ushauri wa Huduma za Kifedha
  • Habari za Kilimo
    • Pembejeo Za Kilimo
    • Wawezeshaji
    • Teknolojia za Usindikaji
    • Wafanyabiashara au Wasindikaji
    • Habari za Masoko
    • Vikundi vya Ushirika wa Wakulima
  • Safu ya Wajasiriamali
    • Orodha ya Wajasiriamali
    • Mafanikio ya Wajasiriamali
    • Taarifa Juu ya Wajasiriamali
  • BODI MPYA YA WAKURUGENZI SIDO YAZINDULIWA RASMI
    Hivi karibuni, Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Dkt. Ashatu K. Kijaji akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Wizara, Dkt. Hashil T. Abdallah, walizindua Bodi mpya ya Wakurugenzi - SIDO.
    Habari Zaidi.........
  • SIDO ARUSHA YAFANYA MAFUNZO YA VIFUNGASHIO NA UFUNGASHAJI
    Hivi karibuni, Meneja wa SIDO Arusha aliandaa mafunzo ya Branding, Packaging na Labelling kwa wajasiriamali takribani 40 wanaozalisha bidhaa mbalimbal yakiwa na lengo la kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wa kati kufungasha bidhaa zao ili ziwe na mwonekano mzuri na wakuvutia katika masoko ya ndani na nje ya nchi.
    Maelezo zaidi.............
  • SIDO TDCs ZAWA CHACHU YA UANZISHAJI VIWANDA VIDOGO
    Tanzania imejaliwa kuwa na malighafi mbalimbali zinazotokana na kilimo, ufugaji na uvuvi. Malighafi hizi zinahitaji kuongezwa thamani ili bidhaa mbalimbali ziweze kuzalishwa. Uongezaji thamani unahitaji teknolojia mbalimbali za uzalishaji. Hii ilipelekea SIDO kuanzisha vituo vya kuendeleza teknolojia vijulikanavyo kama TDC.
    Maelezo zaidi.............
  • UWEKEZAJI WA SIDO UNAVYOWASAIDIA WAJASILIAMALI
    Katika utekelezaji wa mikakati yake na hususani kwenye uwekezaji, Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) limeendelea kuhakikisha wajasiriamali wazalishaji wanapatiwa maeneo mazuri ya uzalishaji wa bidhaa zao. Lengo ni kuhakikisha bidhaa za wajasiriamali zinazozalishwa zipo kwenye ubora unaotakiwa kitaifa na kimataifa.
    Maelezo zaidi.............
  • KATIBU MKUU ATEMBELEA MITAA YA VIWANDA SIDO – DSM
    Mheshimiwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dr. Hashil T. Abdallah, akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa Bodi ya SIDO Mhandisi Musa Ally Nyamsingwa walifanya ziara katika eneo la viwanda lililopo SIDO mkoa wa Dar Es Salaam ili kujionea shughuli mbalimbali za wajasiriamali wapangaji wa eneo hilo.
    Maelezo zaidi.............
  • PATA TAARIFA MBALIMBALI KUPITIA MITANDAO YA SIDO
    Shirika la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO) limeendelea kutumia njia mbalimbali za mawasiliano ili kutoa taarifa zinazohusu Shirika na huduma zake. Njia zinazotumika katika utoaji taarifa mbalimbali ni pamoja na tovuti ya Shirika, mitandao ya kijamii kama facebook (sidotanzania), twitter(sidotanzania) na instagram(sido_tanzania).
    Maelezo zaidi.............
  • SIDO YASHEREREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
    Baadhi ya watumishi wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) kutoka SIDO Upanga, wakiwa kwenye matayarisho ya kujumuika na Wanawake wengine wa mkoa wa Dar Es Salaam katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani Machi 8, 2023 yaliyoazimishwa kimkoa katika viwanja vya Mnazi MMoja jijini Da Es Salaam.

Matangazo

  • MAWASILIANO YA OFISI ZA MIKOA SIDO
    01/2/2023
    Mpya
zaidi...

Habari na Matukio

  • MAONESHO YA 47 YA KIMATAIFA YA BIASHARA (DITF)
    05/4/2022
  • MAONESHO YA 4 YA SIDO KITAIFA
    05/4/2022
zaidi...

Tovuti Muhimu

  • Benki Kuu Tanzania
  • BRELA
  • Wizara Ya viwanda Na Biashara
  • Wizara Ya Kilimo
zaidi...

Kuhusu

  • Ofisi za Shirika
  • Mpango Mkakati
  • Muundo Wa Shirika

Tembelea

  • Habari na Matukio
  • Matangazo
  • Picha
  • Video
  • Sauti
  • Tovuti Muhimu

Rasilimali

  • Barua Pepe
  • ERMS
  • Eoffice

Msaada

  • Mawasiliano

Follow us

  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Youtube
  • LinkedIn

Hati Miliki © 2023 | Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo Vidogo. Haki Zote Zimehifadhiwa