The 43rd DITF 2019

English

SHIRIKA LA KUHUDUMIA VIWANDA VIDOGO (SIDO)
Litashiriki kwenye MAONESHO YA 43 YA DITF 2019 maarufu Kama Sabasaba, kupitia banda lake maalumu na hivyo linawakaribisha wajasiriamali na
wadau wote kushiriki kwenye maonesho haya kupitia banda la SIDO.

Tarehe: 28/06 – 13/07/2019

MAMBO YA KUZINGATIA
Mjasiriamali awe na bidhaa za kitanzania,
vipeperushi, bango lenye jina na mawasiliano kamili ya biashara yake

Mjasiriamali atapewa Tisheti, kitambulisho, kiti, meza, mafunzo na ushauri wa bure ili ushiriki wake kwenye
maonesho uwe wenye mafanikio

ADA YA USHIRIKI:
ni rafiki, wasiliana na
wahusika kwa maelezo
kamili

Wasiliana nasi kupitia: Ofisi ya SIDO iliyo karibu nawe Mikoa yote

Au kwa Simu:
0784 640 338 / 0752 898 965