TUNAWATAKIA WAISLAMU WOTE MFUNGO MWEMA WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
WAZIRI MKUU AIPONGEZA SIDO KWENYE MAONESHO YA UWEZESHAJI
Waziri Mkuu, Mhe. Kassimu Majaliwa alitoa pongezi hizo baada ya kutembelea bidhaa mbalimbali za wajasiriamali kwenye Maonesho ya Programu na Mifuko ya Uwezeshaji yaliyofanyika Arusha hivi karibuni.
SIDO YAENDELEZA JUHUDI ZA KUPAMBANA NA VIRUS VYA COVID -19
Katika juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali za kupambana na virusi wa COVID – 19, Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) limeunga mkono juhudi za serikali kwa kutoa elimu mbalimbali na vifaa vya kujikinga na virusi hivi vya corona
WAHITIMU WA VYUO KUSAIDIA KATIKA UANZISHWAJI VIWANDA
SIDO kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya (MUST) wamesaini Mkataba wa Ushirikiano (MoU) ili kuhakikisha ujuzi unaopatikana kutoka kwa wahitimu haubaki kwenye mashelfu na badala yake unageuzwa kuwa bidhaa / huduma inayouzika sokoni na hivyo kusaidia katika mchakato wa uanzishwaji viwanda nchini.